Natafuta Point of Sales (POS) System kwa ajili ya duka moja

Natafuta Point of Sales (POS) System kwa ajili ya duka moja

Semilong

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2009
Posts
1,711
Reaction score
220
Nilikuwa nauliza POS system gani ni nzuri kwa maduka TZ and how much it costs.
 
Nilikuwa nauliza POS system gani ni nzuri kwa maduka TZ and how much it costs.

You mean software or hardware-wise?
Kwenye hardware muhimu ni barcode scanner, cashbox (kama utapenda), a descent computer, na software yoyote ya POS waliyoizowea hapo kwako. Upo mkoa gani mkuu?
 
You mean software or hardware-wise?
Kwenye hardware muhimu ni barcode scanner, cashbox (kama utapenda), a descent computer, na software yoyote ya POS waliyoizowea hapo kwako. Upo mkoa gani mkuu?
Nipo dar na ndio naanza biashara.
Kwa hiyo ninahitaji both hardware na software. Nauliza hivi vitu vinapatikana wapi. Pos ninayotaka nataka iwe ina nisaidia both kwenye mauzo na inventory. Kuweza ku scan kila product inavyoingia na wakati wa kuuza. Pia iwe user friendly
 
Watafute hawa jamaa niafikra Group Limited wana product(Pos) nzuri sana 0717050609/0689519020 mikocheni kwa mwalimu
 
Bei zetu ni kuanzia Tshs 250,000 (Starter Edition), Tshs 400,000 (Basic Edition), Tshs 500,000 (Medium Edition) na Tshs 800,000(Premium Edition).

Please tupigie simu 0788 332031 anytime kwa maelezo zaidi kuhusu Bluelight Inventory
 
Back
Top Bottom