Natafuta POS ya kununua ya NMB na CRDB bank

Natafuta POS ya kununua ya NMB na CRDB bank

Natafta posi ya kununua ya benki za CRDB na NMB kwa yeyote atakua nazo naomba anitafte inbox tufanye biashara
Ukiipata hiyo POSI tafadhali ni-tag maana ndiyo mara ya kwanza nasikia.
 
Natafta posi ya kununua ya benki za CRDB na NMB kwa yeyote atakua nazo naomba anitafte inbox tufanye biashara
Tahadhari:

Usinunue mashine kwa Wakala, fika benki jaza fomu uombe kumiliki ya kwako.

Mashine utakayo nunua inasoma jina la mmiliki hivyo bado benki inamtambua ataweza kutoa pesa kwenye hiyo akaunti bila kukupa taarifa.
 
Watu wanaogopa kukamuliwa bila shaka. Maana kuna baadhi ya benki usipokuwa na milioni 1, huwezi kuipata hiyo mashine.
 
Back
Top Bottom