Ukikonect kweny computer hakuna response yoyote ile. Data port ipo sawa na copy inatoa vizuri kabisa tatizo ni kwenye kuprint na scan.Ina shida gani?
Check hapa>>>
TZS 99,716.77 6%OFF | New Original LaserJet CZ172-60001 Formatter Board Logic mainboard For HP LaserJet Pro M125a M125ra 126A M125A MFP Printer parts
View attachment 1959666
Inaonyesha ndio ugonjwa wa hizo printer. Huwa ikiwa hivyo USB interface imekufa. Je hii ina Wifi?Ukikonect kweny computer hakuna response yoyote ile. Data port ipo sawa na copy inatoa vizuri kabisa tatizo ni kwenye kuprint na scan.
So nijaribu kubadilisha port ya usb? Haina wireless.