Natafuta Products za kusafisha makochi

Natafuta Products za kusafisha makochi

Trubarg

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2020
Posts
4,388
Reaction score
7,223
Wadau habari za jioni. Poleni na mvua. Tafadhali naomba mwenye idea ya products za kusafisha makochi hasa haya ya fabric ili kuondoa kiharufu na jasho n.k ambayo ukisasafisha Kochi linawahi kauka.

Natangulisha shukrani zangu za dhati kwenu.
 
Wadau karibuni Kwa muongozo, makochi yanayotoa uvundo yanasafishwaje..
 
Wadau habari za jioni. Poleni na mvua. Tafadhali naomba mwenye idea ya products za kusafisha makochi hasa haya ya fabric ili kuondoa kiharufu na jasho n.k ambayo ukisasafisha Kochi linawahi kauka.

Natangulisha shukrani zangu za dhati kwenu.
Kochi mpaka linalowa jasho kitanda hamna?
 
Back
Top Bottom