Natafuta proposal

Natafuta proposal

IBM2014

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
929
Reaction score
169
Wana jamvi naomba msaada kwa mwenye research proposal juu ya mambo ya marketing anisaidie tunaweza kuongea pia jinsi ya kucompasate???
 
Wana jamvi naomba msaada kwa mwenye research proposal juu ya mambo ya marketing anisaidie tunaweza kuongea pia jinsi ya kucompasate???

Wewe ndo kiongozi au mtendaji wa baadae du majanga tena bila ya Kuona haya na rushwa unatangaza majanga kweli Kweli.
 
This is what our education system has been reduced to.

Lazy minds who think everything shall be fed to them on a silver spoon.

And we wonder why the economy keeps falling.

SMDH!
 
Wana jamvi naomba msaada kwa mwenye research proposal juu ya mambo ya marketing anisaidie tunaweza kuongea pia jinsi ya kucompasate???

Duuuuuuuuh!! Madesa hizi ndio elimu zetu za Bongo.
 
Bomu la hapo likilipuka ni zaidi la Dr. MULUGO
 
Bila shaka utakua unasoma mzumbe wewe!
 
Back
Top Bottom