Natafuta Protein Suplimentary

Natafuta Protein Suplimentary

Mechanics

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
295
Reaction score
26
Habari wakuu,

Nimesikia sikia hizi kuwa zina ongeza weight (my aim), sasa mwenye nazo anisaidie..
 
Umejaribu kugoogle mkuu...........?......
 
Uko south sudan? Why not eat healthy? Haya maisha hayako complicated kama mnavyotaka kutuaminisha jamani
 
Habari wakuu,

Nimesikia sikia hizi kuwa zina ongeza weight (my aim), sasa mwenye nazo anisaidie..

wala usisumbuke na midawa sijui nini,,, wewe kula ugali wa dona kwa maharagwe na nyama,, nilipofika hapa DRC haya mambo ya kuchangia nyumba na wazungu kila siku sijui lazanya sijui piza ,, wali nini ... nilikonda sana cha ajabu sasa mpishi yeye kitambi kinatoka tu siku moja nikapita jikoni ,,, masaleee nikakuta jamaa anafakamia ugali wa dona na ''sambaza; ikabidi niliweke wazi jambo hili pale office kha kumbe vitambi vyote pale ni sambaza kwa dona au ''kinono'' na siku moja moja ni ''kibonde'' vyooote lazima pembeni kuwe na ''sombe'' huwezi amini sasa nina kitambi namkaribia mwenda zake
 
Back
Top Bottom