S SUMLEY Member Joined Mar 11, 2011 Posts 90 Reaction score 121 Jan 6, 2014 #1 Ndugu wana jf natafuta pump kwa ajili ya umwagiliaji. Iwe na uwezo wa kusukuma maji zaidi ya mita 700 kutoka mtoni, mwinuko wa shamba sio mkubwa sana ni mwinuko wa kawaida. Kwa mwenye nayo aniinbox private msg
Ndugu wana jf natafuta pump kwa ajili ya umwagiliaji. Iwe na uwezo wa kusukuma maji zaidi ya mita 700 kutoka mtoni, mwinuko wa shamba sio mkubwa sana ni mwinuko wa kawaida. Kwa mwenye nayo aniinbox private msg
M MalafyaleP Senior Member Joined May 23, 2013 Posts 187 Reaction score 387 Jan 7, 2014 #2 Kama upo dar nenda dayliff,opposite kamata.wana pump nzuri.lakini muhimu kukadiria huo mwinuko,inaitwa head kwenye pump na ni parameter muhimu
Kama upo dar nenda dayliff,opposite kamata.wana pump nzuri.lakini muhimu kukadiria huo mwinuko,inaitwa head kwenye pump na ni parameter muhimu