Bwana Roky, hiyo pump inapatikana, naomba kama hutojali weka namba yako nitakupigia au nicontact kwa email address frajosmal@yahoo.com
Ili tuwasiliane jinsi utakavyotaka ikufikie. Asante.
Nimekutumia email na PM.
Thanks.
Nimekutumia email mkuu.
Pole kuchelewa kukujibu,nitakupigia simu mkuu.mkuu nimekutumia tayari, waweza nichek 0789 680 000 kwa maswali zaidi.