newmzalendo
JF-Expert Member
- Mar 23, 2009
- 1,385
- 568
Kuhusu eneo nilalo kubwa Preta ( ekari tatu nadhani zinatosha)
Yaeda ndo wapi huko? si vibaya ukinisaidia kuuliza bei.
Punda milia a.k.a Zebra simuhitaji! Mi namtaka huyu punda kihongwe ili afanye kazi......kama siku simuhitaji nitamuuza.
Punda in DAR?
naomba unielimishe jinsi utakavyo watumia, na faida zake,naweaza kushawishika kufuga nami, ukivuka kigamboni about 2km from ferry kuna kanisa la kipentekosti ,kuna jamaa anauza vyungu/mitungi,huwa naona punda wawili wakila majani,nahisi anayewafuga yupo karibu,unaweza pata more information .
Yaeda ipo mbulu/karatu
Front Page 4
Hongera kwa kupenda kuwafuga punda. Je unaweza ukaja hapa Singida ukawapata mara moja maeneo ya Itaja km 30 toka Singida mjini. Bei @180000. Ni pm tuwasiliane.