Natafuta rafiki ambaye baadae atakuwa mke wa maisha

mr. loner

Senior Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
168
Reaction score
229
Habari wana jamii Mimi ni Mtanzania naishida Kanda ya ziwa, natafuta rafiki wa kike mzuri mtaratibu na pia mwenye hofu ya Mungu. Lengo kubwa kama ikimpendeza Mungu baadae aje kuwa mama wa watoto wangu. Tafadhali awe na umri chini ya miaka thelathini
 
Hivi sikuizi nasisi tumeanza kutafuta wake!!

Wanawake walivyo wengi mitaani humo yani umekosa kabisaaa hadi unaamua kujakutafuta jukwaani?!!!
Mkuu utakua haupo serious, au unataka mtelezo wa kitonga isijekua mdomo mzito
 
Umetahiriwa? Manake huko Kanda ya Ziwa mna historia ya peke yenu baadhi ya Mikoa sasa hatutaki utupe shida kwa Dada zetu kila siku wawe wanafanya tu Kazi ya kulikunjua na kulikunja ' Lisweta ' lako la asili.
 
Mkuu kutongoza ' Kipaji ' na Jamaa anaonekana kabisa kuwa ni ' domoless ' katika Utongozaji na ndiyo maana anataka kuteleza na ganda la Ndizi kwa ' Mademu ' wa humu Mtandaoni ili aweze kuusuuza vizuri ' Mkuyenge ' wake.
 
Kabisa mkuu jamaa ni domo zege, kama kweli kidume unania (tena ya kuoa kabisa) hakuna mwanamke wakuzingua...
 
Habari wana jamii Mimi ni Mtanzania naishida Kanda ya ziwa, natafuta rafiki wa kike mzuri mtaratibu na pia mwenye hofu ya Mungu. Lengo kubwa kama ikimpendeza Mungu baadae aje kuwa mama wa watoto wangu. Tafadhali awe na umri chini ya miaka thelathini

Huyu yuko kwenye mpito anasogea taratibu. Kiuhalisia yuko karne ya 17 ila amerukia karne hii ya 21 kwa athari utandawazi. Akigundua atarudi kwenye "chagulaga" zile ngoma zao za kuchaguana
 
Umetahiriwa? Manake huko Kanda ya Ziwa mna historia ya peke yenu baadhi ya Mikoa sasa hatutaki utupe shida kwa Dada zetu kila siku wawe wanafanya tu Kazi ya kulikunjua na kulikunja ' Lisweta ' lako la asili.
We mwenyewe wa huko tabia zenu moja
 
We mwenyewe wa huko tabia zenu moja

Wewe tena ' ukome ' na uishie hapo hapo sawa? Hakuna ' Mzanaki ' wa Kabila langu au Kabila lolote la Mkoani Mara ( Musoma ) ambalo Wanaume wake ' hawatahiri '. Kama una utani na Wahaya, Wasukuma na Wakerewe sema tu kwani wapo wengi sana humu watakujibu. Tena ikiwezekana upesi sana utuombe radhi Sisi Watu wa Mara kwa kutuhusisha na hiyo ' dhambi ' kubwa ya ' Govinda / Sweta '.
 
Back
Top Bottom