Natafuta rafiki anayeongea Kingereza fluently

doppla2

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
1,363
Reaction score
1,431
Salaam wakuu

Mimi ni kijana wa kiume nipo moshi. Hivi karibuni nimepata mwaliko wa kwenda moja wapo ya nchi ya Ulaya.

Tatizo langu kiingereza nachozungumza kimejaa makinikia kibao, in short my english is poor.

Hivyo natafuta rafiki anayeweza zungumza english safi kabisa, ili anisaidie ku improve hii lugha.

Usihofu, ela ya vocha na bando ntakua nakutumia ili kufacilitate communication

Jinsia zote mtakaribishwa.
 
Nenda hivyo hivyo

Kama unajua kuongea maneno yatajipanga vzur mbele ya safar

English ni practice tu,

Best wishes kwa makaburu
 
Mkuu nakushauri usiogope kabisa,hiko unachokijua nakushauri we nenda,ukiwa huko huko utajifunza na kujua zaidi...
 
aise bora hende huko huko anza na broken kitaeleweka tu.... Tatizo linakuja pale unapoongea leo english kesho unaongea kiswahili keshokutwa english yaani utatumia nguvu nying lakin improvement itakuwa ndogo sana
 
Kithungu kama kupiga gitaa ama piano...kadri unavyopiga mazoezi ndivyo unavyokuwa mtaalam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…