Natafuta rafiki anayeongea Kingereza fluently

Ungekuwa jinsia ya kike ungepata sana marafiki. Ila duh, humu wanawake wengi 'married', na men kwa men haziendi. Mwenyewe ningekusaidia, ila sasa mnapigiana midume, story zinaisha. Kama ukikosa wadau nifate PM, nitakusaidia kadri ya uwezo wangu. By the way, mimi nimesoma Cambridge schools toka darasa la 4. So I can help you kiaina.

Nakutakia kila la kheri.

-callmeGhost
 
Nenda huko huko ubalozini utawakuta wakalimani mahili kabisa watakuhudumia hata Kwa kichagga

Gharama utakayoitumia kumlipia mkalimani safarini utaitumia kununua condom

Safari njema
Msalimie nchi ya ulaya
 
KICHWA KAMA NI KIKGUMU NI KIGUMU TU BRO HUONA TUNA MAPROFESA ENGLISH SHIDA.WEWE WAZAZI WAKULIPIA SHULENI LAKINI ANTENA BADO HAIJAPANDA.UTAPOTEZA HELA YA BURE TU.USHAURI WANGU WEWE NENDA ULAYA HIVYO HIVYO SHIDA NDIO ZITAKUFANYA UELEWE KWA HARAKA KWANI WOTE WATAKUWA WANAPIGA ENGLISH ITABIDI UJITUTUMUE NA MANENO YATAANZA KUTOKA KICHWANI.MANENO UNAYO KICHWANI YAMEJIBANA SEHEMU
 
It's frequently not flently ...take it bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…