kido madini
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 223
- 144
jamani wana jamii, mimi ni kijana wa miaka 21,ni mwanafunzi wa diploma ya sheria ,nlikua na rafiki angu wa kike nlompenda kwa dhati kabisa lakini ikatokea bila sababu judy akaamua tuachane na hivi sasa imepita miezi minne tangu tuachane,nlikua nukimvumilia labda anweza kubadilika na kurudi nyuma kwani ni mahusiano yetu ni tangu 2009 mpaka mezi wa sita mwaka huu,hivyo nahitaji mtu mpya nkae fahamiana nae kwanza kwanza,mie nipo dar es salaam maeneo ya airport