Natafuta rafiki, ikiwezekana kuweza kuwa wachumba

Natafuta rafiki, ikiwezekana kuweza kuwa wachumba

Luali

Senior Member
Joined
Jan 1, 2013
Posts
101
Reaction score
11
Habari yako msomaji,

Mimi naishi nje ya nchi, na natafuta mchumba mwenye heshima zake, na mwenye kujielewa,msikivu,muelewa, mwenye elimu na anayependa watoto, anayeweza kujali familia bila makundi wala shinikizo lolote la nje ya mahusiano yetu. Awe mwanafunzi wa chuo, ama mfanyakazi, au mfanyabishara itakuwa vyema zaidi. Mimi ni mwanaume wa miaka 33 takriban
 
Awe na yote hayo awe mtaani anasubir nini? we chukua yoyote zen hayo halafu hayo mambo uyapendayo anza kufundisha hukohuko ila mpe probation ili asipobadilika umpge chini unarudi tena hapa jukwaan unatupa tena 'ndoano' yako hiyo ya nje ya nchi unachek kitu kingin ndio raha ya utandawazi.
 
Back
Top Bottom