Natafuta rafiki, ikiwezekana kuweza kuwa wachumba

Natafuta rafiki, ikiwezekana kuweza kuwa wachumba

Luali

Senior Member
Joined
Jan 1, 2013
Posts
101
Reaction score
11
Habari yako msomaji,

Mimi naishi nje ya nchi, na natafuta mchumba mwenye heshima zake, na mwenye kujielewa,msikivu,muelewa, mwenye elimu na anayependa watoto, anayeweza kujali familia bila makundi wala shinikizo lolote la nje ya mahusiano yetu. Awe mwanafunzi wa chuo, ama mfanyakazi, au mfanyabishara itakuwa vyema zaidi. Mimi ni mwanaume wa miaka 33 takriban
 
Nafasi ipo. Wanaume ni wengi mno duniani
Shida ni kuwa ukiwa unatafuta demu unaona kuwa wanaume mko wengi na kinadadada nao wanpata feeling iyohiyo wakitafuta wa kuolewa nao ndo man wengine wanamua kutoka na waume za watu
 
Nami niko nje ya nchi tena nina vigezo vyote. Nipim tuanze mchakato serious!

Habari yako msomaji,

Mimi naishi nje ya nchi, na natafuta mchumba mwenye heshima zake, na mwenye kujielewa,msikivu,muelewa, mwenye elimu na anayependa watoto, anayeweza kujali familia bila makundi wala shinikizo lolote la nje ya mahusiano yetu. Awe mwanafunzi wa chuo, ama mfanyakazi, au mfanyabishara itakuwa vyema zaidi. Mimi ni mwanaume wa miaka 33 takriban
 
sasa mbona hujatoa contact zako jaman
 
nje ya nchi tena itakuwaje? maisha ni haya haya bwana? au mapenzi ya simu/ au penpal? ungekuwa nchini hapa ningejaribu
 
Back
Top Bottom