poa subiri asnam akutafutie
Shida ni kuwa ukiwa unatafuta demu unaona kuwa wanaume mko wengi na kinadadada nao wanpata feeling iyohiyo wakitafuta wa kuolewa nao ndo man wengine wanamua kutoka na waume za watuNafasi ipo. Wanaume ni wengi mno duniani
Habari yako msomaji,
Mimi naishi nje ya nchi, na natafuta mchumba mwenye heshima zake, na mwenye kujielewa,msikivu,muelewa, mwenye elimu na anayependa watoto, anayeweza kujali familia bila makundi wala shinikizo lolote la nje ya mahusiano yetu. Awe mwanafunzi wa chuo, ama mfanyakazi, au mfanyabishara itakuwa vyema zaidi. Mimi ni mwanaume wa miaka 33 takriban