Natafuta rafiki jinsia ya kike, lolote la weza tokea!

Natafuta rafiki jinsia ya kike, lolote la weza tokea!

Chasaka

Member
Joined
Jun 23, 2011
Posts
67
Reaction score
14
Kiukweli nina miaka thelathini na wiki kadhaa,sijawah kuingia kwenye mahusiano hata siku moja, NI KWELI! Mimi nililazimika kuwa katika hali hii sababu ya mazingira, ukinielewa nitashukuru. Nahitaji msichana kama rafiki na lolote laweza kutokea, plz mnielewe.
 
Hahahahaha sipati picha hapo lolote likishatokea atakavyopata kazi ya kukufundisha. Kila la heri watakuja tu hata kama sio hapa PM utazichoka.
 
Chasaka we endelea kusaka may be utampata tu huyo bidada

btn natamani kujua hiyo sababu hadi umefika in ur 30's
na haujawahi kuingia ktk mahusiano
 
Last edited by a moderator:
Ni PM Chasaka lolote lawezatokea mi sio kyasaka lakini
 
Last edited by a moderator:
umri ata mbuzi anao. weka cv zako watu wajue ni nani na unafanya nini. unapatikana wap
 
Na siku ukipewa kabla hujafanya chochote uagane na kiuno chako manake hakijazoea mikikimikiki

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
sa c aweke wazi! Litatokea lip kubakwa ,kufa,urafiki kufa au? Mbna muoga huyo! Au ndo ubikira wake loh! Sipati picha picha likianza!

hahaaa ameshindwa kuwa sraight forward.......

kufikishwa kilele cha mlima kilimanjaro kwa mara ya kwanza LOL!!!!
 
Ungekuwa mdada wangepanga foleni sasa wewe dume hujui lolote haaa ni kazi kuanza tution bwana :smile-big:
 
Back
Top Bottom