Nipo Moshi, na nimechelewa kusoma,nasubiri kwenda chuo kikuu, nafikiri inatosha nani kweli tupu! Nakama upole ni ukilema bac ninao. Kuhusu lolote la weza tokea ni hivi,tukielewana tunaweza kuhusiana sifikiri kumuumiza yeyote kwa vyovyote,pia naelewa haraka isivyo tarajiwa