Natafuta rafiki mchumba baadaye awe mke kabisa

Natafuta rafiki mchumba baadaye awe mke kabisa

Irrigation

Member
Joined
Nov 16, 2022
Posts
12
Reaction score
11
Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam, ni kijana mwenye miaka 30 kwa sasa, pia ni mkristo. Mjasiriamali pia. Natafuta mchumba baadaye awe mke.

Umri wake ni miaka 27 mpaka 30. Dini yeyote pia sichagui, elimu kuanzia kidato cha nne, atokee sehemu yeyote Tanzania hii, ila mkazi wa Dar es Salaam atapewa kipaumbele zaidi. Dada/binti mwenye vigezo hivyo karibu sana, PM.
 
Back
Top Bottom