kichekesho
Member
- Jul 25, 2013
- 14
- 0
mimi ni mwanaume naishi ughaibuni natafuta msichana atakayekuwa rafiki, mchumba na ikiwezekana ndoa Mungu akipenda. nimejiunga Jamii forums specifically kwa ajili ya swala hili maana nadhani labda Mungu anaweza kunijalia nami nikampata rafiki hatimaye mwenza humu.
SIFA:
1. awe mtanzania maana huku nakoishi watanzania wachache sana, nahitaji mtanzania mwenzangu.
2. asiwe anajichubua
3. awe mcha Mungu
4. swala la kazi si muhimu sana kwangu cha msingi awe na elimu walau ya chuo.
tabia nitamsoma kadiri tutakavyokuwa tunawasiliana na kuonana nitakapokuja TZ.
5. awe tayari kutuma picha kwa baadae pale mahusiano yetu yatakapoanza kuwa na direction. nami nitamtumia ya kwangu
6. awe tayari kufanya checkup punde tutakapoelewana
7. awe serious, sio mambo ya utani
kwa maelezo zaidi tuwasiliane
MUHIMU: hatua ya kwanza itakuwa ni urafiki, uchumba na ndoa vitakuja baadae kama tukielewana tabia na mienendo. siwezi kupromise ndoa saivi