mh jamani black is not good kwa kweli.
Nowadays black men want white look-alike woman. Mh kazi mnayo wadanganyika, ukoloni mnao mpaka kwenye damu zenu. inasikitisha sana kwa kweli pale mtu anapoona weupe ni kitu cha muhimu sana katika mwanamke?
Je hao wanawake weupe watoke wapi jamani?kama baba zao ni weusi?
Hii ina-send what message to young women in Tz? Kuwa weusi ni ubaya?
think hard
Wadau, nimepata mtu, ila bado tunaendelea na majadiliano ya hapa na pale na kufahamiana. Nashukuru kwa hilo.
Tuendelee kumkoma nyani.
Mkuu Idimi,
bahati mbaya (nzuri?) nina mke, ningeomba wasiofikia vigezo vyako uwalete kwangu...... all the best, keep us updated.
Hahahhhh!
Pole sana. Vigezo gani vilikukwamisha?
Umri IDIMI Umri! I am 33. lakini najua vigezo vingine vyote navimudu.
Hongera kwa kuweka tangazo hili. you are brave. sio wanaume wengi who can do what you did. alafu msichana ukiishi Dar ni vigumu kukutana na wanaume wa maana!
IDIMI ushampata huyo gerofrendi ama bado una search?
Na je nafasi ilikuwa ni moja tu ama kuna ziada?
Halafu niliona suala la kunegotiate sifa, na nikaona kuna uliyemuahidi kuendelezwa kielimu,Mimi nina 33 yrs, vipi naweza kupunguziwa umri pia ili nifit kwenye qualification unazozitaka kama yule aliyekuwa hajafikia form six na akaahidiwa kuendelezwa kielimu?
Hongera, IDIMI. wengine tusingeweza kuapply manake qualifications zingine unazozitaka hatuna.
Umri IDIMI Umri! I am 33. lakini najua vigezo vingine vyote navimudu.
Hongera kwa kuweka tangazo hili. you are brave. sio wanaume wengi who can do what you did. alafu msichana ukiishi Dar ni vigumu kukutana na wanaume wa maana!
Pole sana kijana wangu..
Usikonde, nitawa-forward kwako bila shaka.
Ila sshhhhhhhhh! Heshimu ndoa bro!
Usimwambie mtu! Lol
Idimi
Mkuu Idimi - Ebu weka wazi hili, unataka mtu wa kubadilishana mawazo tu? au unataka kwenda mbali zaidi ya hapo hadi kwenye kuivunja amri ya sita (najua unaifahamu)? Manake si wabongo kidogo huwa si wawazi sana katika issue hii!!
Sorry mkuu, I wish u all the best!
festog
Mkuu Festog,Natafuta rafiki wa kike (girlfriend) wa kubadilishana naye fikra na uzoefu wa mambo mbalimbali.
IDIMI hujapata? Nataka nami kuandika kuwa natafuta rafiki 🙂Thanks for your recommendations, I will work on them.
Idimi
Mkuu Festog,
Lengo langu haswa halikuwa kutafuta mwanadada wa kujivinjari nae kimapenzi, ingawa hiyo kauli "Mambo Mbali mbali" kama nilivyojinukuu hapo juu ilizua maswali mengi sana kwamba niifafanue. Binafsi nilikuwa na girfriend hapo kabla, ila alipata jamaa ambaye 'mfuko' wake ni mnene zaidi kuliko mimi mwanafunzi (enzi hizo), hivyo nikamwagwa 'mbaya'. Nilijikongoja hadi maumivu yakaisha. Hii ilikuwa mwaka 2000. Hii ndiyo sababu ambayo ilinifanya nisitafute "mpenzi" kwani huenda yakawa yale yale, ingawa sasa nina kazi. Sitaki kufanya usanii kwa mtoto wa mtu, kwani naelewa maumivu yake!
IDIMI hujapata? Nataka nami kuandika kuwa natafuta rafiki 🙂
Thanks, ila nakushauri intentions zako mapema hao waliojitokeza au watakao jitokez.....! wasije kubadilikia mkuu!! Ila kaka,mbuzi wako kwenye magunia, vipi ukiwaona physically....! naona safari yenu inaweza ishia kwenye ka amri ka 6!!! in case mbuzi wana lipa!!