Naona wengi wanachenguka na vigezo nilivyokuwa nimeviainisha, wengi wamelalamikia kigezo cha umri kwamba kinawabana, labda nipunguze.
IDIMI, Mimi ni yule gerofrendi uliyekuwa unamtafuta, Nimefikisha sifa zote sasa. Umri nimepunguza, From now on, I'm 25yrs instead of 33yrs, just for you (Imekaaje hiyo). Sifa nyingine zote nilikuwa nazo tangu mwanzo, hilo la umri tu ndo lilikuwa tatizo, sioni hasara kupunguza, Unasemaje sasa?
kwi kwi kwi!
Heri wewe umesema. Ningesema mimi yangenikuta ya kunikuta.
Sasa mzee unasemaje? mbona humpi jibu bibie? au tayari umempa kwa PM? haya , mkifikia mahali pazuri tuambieni tujisachi mifuko mapemaaaa kuwaunga mkono. Kila la baraka na heri.
Mkuu wameanza kukuzidi nini? Unapata kila aina ya PM.Ndugu yangu,
Ujumbe aliouandika huyo mheshimiwa hapo juu kuja kwa Pm yangu ni tofauti sana na huo hapo juu, ndio maana nikakaa kimya.
Long Live Idimi.
Mkuu wameanza kukuzidi nini? Unapata kila aina ya PM.
Halafu bado hujapata? Au we unatafuta zaidi ya mmoja. (joke)
Mkuu Roy,
Nimekutana na vioja vingi sana huko kunako Pm, kwani wamekuja wasanii kibao sana. Wengine hawana lengo la hicho ninachokitaka, ila wana sababu zao binafsi za kutaka contacts.
Kwa sababu hizo basi, hajapatikana mtu mwafaka!
Duniani kuna mengi sana!

Nilisahau swali la msingi IDIMI, hivi kuna wale ambao tunawajua wapo nje ya hiki kiwanja ila TBS safi kabisa kila kigezo wametimiza na some wamezidi kidogo kwa ubora. Je tunaweza kuwabonyeza wajaribu hiyo bahati yao? watumie mawasiliano gani mzee kukupata? au hii offer ni kwa ajili ya members wa JF tu? Samahazi wazee sio kama nafanya ukuwadi ni maoni tu!!!!
Bila hofu,
Yeyote aweza kuomba nafasi.
Niliweka mawasiliano hapo juu, huenda hujaona.
idimi@jamboforums.com, ama unaweza ku-pm
Hallow wana JF
Natafuta Mchumba wa Kike, Mimi ni Kijana mwenye Umri wa Miaka 26 natafuta mchuma wa kuoa. Please naomba usitume message za kukejeli, ni njia mojawapo ya kupata familia hivyo usishangae please
Sifa zangu
Age 26
Citizen Tanzania
Education Msc Degree in Software Engineering
Working Microsoft Company UK
Sifa za Mchumba
Age 22-25
Citizen Tanzania
Education Priority Degree
Color Not periority
Ok, anyone who is interested with me, please send me a private message in my JF inbox please, I will contact you.
Cheers!!
Nayajua haya maesabu kuliko unavyofikiria wewe, hizo ni hesabu za mtaani wala hazinisumbui, kama unadhani weman ni matatizo, wewe umetoka wapi?
Niliomba kuwa usifanye Jokes please, au ndo unawasilisha ujumbe?