hopefullytz
Member
- Apr 26, 2017
- 12
- 8
Ndo niniInno lakaimina...ushoo!
NashukuruHongera kwa kuwa muwazi mpendwa. Lakini kumbuka gari mbovu huvutwa na gari nzima....huwezi kuta gari bovu inavutwa na gari mbovu ye-nzake!
We declare yeyote yule aje tu but they have to keep in their mind about your "status"...kwa sababu kuna "Team Mafisi" wao ni zoa zoa tu.....so hiyo status yako haiwatishi.....just welcome them.....though ngumu kumesaaa...!
Asante sanaUtafkanikiwa tu. Usisahau mlejesho
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapo kwenye KUCHAPA KAZI fafanua..kidogo KUCHAPA KAZI KITANDANI au...maana umesema awe mchapakazi na awe na kipato..sijaelewa dada yangu.. Mm nina sifa zote....nipo mbz njoo inbox...pcha yngu hiyo..njoo inbox tutete.pch yangu hyo
Hapo kwenye KUCHAPA KAZI fafanua..kidogo KUCHAPA KAZI KITANDANI au...maana umesema awe mchapakazi na awe na kipato..sijaelewa dada yangu.. Mm nina sifa zote....nipo mbz njoo inbox...pcha yngu hiyo..njoo inbox tutete.pch yangu hyo
huna "status" yoyote ile;ungekuwa nayo njombe nzima hawajaiona mpaka unaranda randa majaani!Kichwa cha habari cha husika mimi ni mwanamke naishi Njombe, natafuta rafiki ambaye tutashauriana issue mbalimbali kuhusu ili janga ikiwezekana baadae awe mume. Awe na sifa zifuatazo ....... . Mchapa kazi, mwenye hofu ya mungu, awe smart na mwisho awe na kipato....... Maswali ntayajibu inbox. Point to note...... sijajinyanyapaa ila nahitaji mtu mwenye status kama yangu.
Wewe kweli mtanganyika unaelewa iyo status nimeitumiaje au unataka na wewe uonekane ume comments shame on you, na vitu vingine vikupitage, kama wewe unaona jamii forum ni majaani that's fine with you mimi kwangu ni sehem naiamini sanahuna "status" yoyote ile;ungekuwa nayo njombe nzima hawajaiona mpaka unaranda randa majaani!
Hapo kwenye KUCHAPA KAZI fafanua..kidogo KUCHAPA KAZI KITANDANI au...maana umesema awe mchapakazi na awe na kipato..sijaelewa dada yangu.. Mm nina sifa zote....nipo mbz njoo inbox...pcha yngu hiyo aaaaaaaaa maswali inbox..njoo inbox tutete.pch yangu hyo
Hapo kwenye KUCHAPA KAZI fafanua..kidogo KUCHAPA KAZI KITANDANI au...maana umesema awe mchapakazi na awe na kipato..sijaelewa dada yangu.. Mm nina sifa zote....nipo mbz njoo inbox...pcha yngu hiyo..njoo inbox tutete.pch yangu hyo
Kila la her
Kila la her
MmmmKuna watakaokuja kukuuliza "chura ipo?"
huna vigezo ndo maana unapuyangaWewe kweli mtanganyika unaelewa iyo status nimeitumiaje au unataka na wewe uonekane ume comments shame on you, na vitu vingine vikupitage, kama wewe unaona jamii forum ni majaani that's fine with you mimi kwangu ni sehem naiamini sana
Kuna watakaokuja kukuuliza "chura ipo?"