Natafuta rafiki mwenye group rhesus -ve(negative)

neema2

Member
Joined
Jun 26, 2018
Posts
10
Reaction score
18
Mimi umri wangu27,Group langu la damu ni A-ve, nahitaji rafiki wa kweli mwenye Rhesus negative mwenzangu tuweze kushare mawazo pindi nipatapo shida ana uwezo wa kunisaidia am serious kwa hili kama una rhesus negative naomba uni pm Ahsanten!
 
Akipatikana me itakuwa njema maana mnaweza tengeneza couple na mkaishi kwa amani kuliko upate mwenzi ambaye siyo -ve
 
Mimi umri wangu27,Group langu la damu ni A-ve, nahitaji rafiki wa kweli mwenye Rhesus negative mwenzangu tuweze kushare mawazo pindi nipatapo shida ana uwezo wa kunisaidia am serious kwa hili kama una rhesus negative naomba uni pm Ahsanten!
mkuu naona unatafuta mgegedo [emoji16][emoji23][emoji23] all the best
 
Mimi umri wangu27,Group langu la damu ni A-ve, nahitaji rafiki wa kweli mwenye Rhesus negative mwenzangu tuweze kushare mawazo pindi nipatapo shida ana uwezo wa kunisaidia am serious kwa hili kama una rhesus negative naomba uni pm Ahsanten!
Mi nna o- nfuate kama upo tayari
 
Big up waitwao ni wengi ila wateule ni wachache.. ....
 
Mimi umri wangu27,Group langu la damu ni A-ve, nahitaji rafiki wa kweli mwenye Rhesus negative mwenzangu tuweze kushare mawazo pindi nipatapo shida ana uwezo wa kunisaidia am serious kwa hili kama una rhesus negative naomba uni pm Ahsanten!

Ninavyojua kuna club kwaajili wa rhesus negative ambayo huwasaidia wenzao kwenye damu pindi ikitokea matatizo miongoni mwao.

Hebu tafuta ujiunge nao.
 
Mimi umri wangu27,Group langu la damu ni A-ve, nahitaji rafiki wa kweli mwenye Rhesus negative mwenzangu tuweze kushare mawazo pindi nipatapo shida ana uwezo wa kunisaidia am serious kwa hili kama una rhesus negative naomba uni pm Ahsanten!
Nicheck pm!
 
Back
Top Bottom