jaqfantasy212
JF-Expert Member
- Dec 17, 2012
- 542
- 257
kuna wakati binadamu anakutana na msongo wa mawazo na asijue wa kumweleza nani, hata kujihisi kama anaishi peke yake kwenye ulimwengu huu, situation ya namna hii ni mbaya.. kwa kulitambua hili napenda kuwasiliana na yeyote aliye katika kipindi hiki, tupige story atleast apate nafuu fulani hivi...mwenye tatizo la namna hii niinbox tuwasiliane..