Natafuta rafiki ambaye tutafahamiana na mungu akijalia awe mchumba Kama tutaendana
Awe mkiristo na mwenye hofu ya mungu wa Kabila lolote
Awe mzuri wa roho na mwili yaan rangi ya maji ya kunde au mweupe watapewa kipaumbele
Awe Amesoma angalau awe Ana degree, au diploma, au elimu ya form six
Au Kama hajasoma basi awe na shughuli yake ya biashara ambayo ni yake mwenyewe
Niko serious, Mimi Nina elimu ya degree, Naishi dar na muajiriwa sekta binafsi, njoo pm nikupe wasifu Wang up zaidi