[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona mie nakufahamu siku nyingi
Kweli mdogo wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Urafiki wa mleta mada jamaniUrafiki upiii anaoutafuta na marafiki anao wengi
KhaaaaHahhaha hivi Baba yeyoo unamuelewa kweli dada unakumbuka talaka aliyotoa jukwaani halafu sasa hivi na yeye member wa uzi wa usiku wa manane na mabebez anao kule
Kwanza ye hana miaka 40 si ataenda kubemendwa hukoUrafiki wa mleta mada jamani
Anae kuna siku nimesema ngoja niingie nisome namkuta baba yeyoo yupo huko khaaa ngachokaaKhaaaa
Ana mbebez tayari?!
HahahaAnae kuna siku nimesema ngoja niingie nisome namkuta baba yeyoo yupo huko khaaa ngachokaa
Anaenda kujaribu bahati yakeKwanza ye hana miaka 40 si ataenda kubemendwa huko
Ni kila siku yupo kwahiyo bado atakuwa ana mastress yake na upweke si unajuwa watu wa mule deep mawazuuu na upweke ndio mana wanakeshaHahaha
Alikuwa na stress huyo
Bahati ipiii nitampa talaka mm jamani amwangalie baba yeyoo aavyolia liaAnaenda kujaribu bahati yake
Mh we baba yeyoo jaman si ulinipa talaka mbele ya sakayo na we ukapata mabebez kwenye uzi wenu wa usiku wa manane
Khaaaa we baba jamani kuniacha uniache mwenyewe sasa hivi lawama natupiwa mm
AiseeeNi kila siku yupo kwahiyo bado atakuwa ana mastress yake na upweke si unajuwa watu wa mule deep mawazuuu na upweke ndio mana wanakesha
HahahaBahati ipiii nitampa talaka mm jamani amwangalie baba yeyoo aavyolia lia
KhaaaaMama yeyoo foleni ilinishinda. Kule sina mtu yeyote. Ni kutoa stress tu na kupata apetait ila hakuna kula.
Daaah miaka Mimi imeninyima urafikiMimi ni dada natafuta rafiki ambaye ni kaka. Nasisitiza rafiki wa kiume aliyekomaa kila upande. Itapendeza akiwa umri kuanzia miaka 40. Sihitaji mpenzi, na wala huyu hatakuwa mpenzi wangu ila atakuwa rafiki wa hali na mali.
Akiwa ameenda shule itakuwa vema maana ataweza kunishauri. Mie pia nina madarasa ya kunitosha. Sijaolewa na sifikirii kuolewa maana nina maisha yangu tayari.
Kama ameoa ahakikishe mkewe ni mwelewa, mambo ya kuanza kutumiwa message za vitisho sitaki.
Asiwe na tabia ya kuomba omba maana mie sina tabia hiyo.
Kama sijaeleweka swali ruksa na sio matusi na kejeli.