Natafuta rafiki si kwa lengo la mapenzi

Urafiki wetu ulikuja automatically, sio kufanyiwa interview pm
Huu wa kuomba lazima muende pm kwanza mfanye mahojiano ili kujiridhisha.

Asije kuwa ni mtu asiyejulikana.
 
Mwanadada umeongea jambo la msingi sana,kwa ufupi unataka rafiki wa kubadilishana nae taarifa na uzoefu kimsingi hili ni jambo jema na lenye kheri kwa mtizamo wangu unarespond katika moja ya theories za personal development inayosema if a person wants to develop has to do the following Plan,walk out and talk with people nakushukuru sana kwa kuwa muwazi na mjasiri kuonyesha Hisia zako.Waingereza wanasema hivi "IF YOU WANT BE INTERESTED BE INTERESTED once again hongera Mimi Niko tayari
 
 

Maneno kuntuu kabisa. Naelewa 40 lazima (kama sio ni wachache sana) awe na mke na watoto. Kwa wengi inakuwa ngumu kuelewa kama urafiki wa namna hiyo upo. Nakuhakikishia upo na ndio maana nikasema lazima awe na mke mwelewa, ninajua sio wanawake wote wanaweza kuelewa hilo... lakini pia wapo waelewa... na wakati mwingine nao huingia katika urafiki huo. Hiki si kitu kigeni. Issue ya yeye kutoa muda mwingi kwangu sio lazima. Mkishakuwa marafiki kila kitu kitajiweka sawa na lazima msimame kwenye msimamo wenu wa urafiki na sio kuingiza mapenzi.

Nitakapokuwa na rafiki wa hivi sitapenda kumpoteza, nitauliza urafiki wetu kwa lolote. Mapenzi ni sumu kwa rafiki wa namna hii.
 
Nipo hapa, nzogo mayo!
 
Hongera ila Dada unaonekana una tatizo maana haiwezekani kupingana na muumba wako mwanadamu aliyekamilika anapaswa kupitia stage zote ambazo Mungu ametaka upitie hapa duniani wewe unakanusha ndoa kwanini ama kama unapata wanaume wa kutimiza tamaa za nafsi tu sijambo sahihi tazama upiya mtizomo wako katika maisha
 

Kaka yangu napenda uelewe kuwa sio lazima binanadamu wote waoe au kuolewa! Wala sitaki mwanamume wa kutimiza tamaa za mwili. Nahitaji rafiki tu.
 
Kaka yangu napenda uelewe kuwa sio lazima binanadamu wote waoe au kuolewa! Wala sitaki mwanamume wa kutimiza tamaa za mwili. Nahitaji rafiki tu.
Nimekuelewa una watoto wangapi ?Na kuna vitu kama coll of nature unakabiliana navyo vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…