Natafuta rafiki si kwa lengo la mapenzi

Hayo natamani tu lakini situmii. Nisije nikakosa rafiki hapa ameshakwambia anataka mtu anaejielewa, sasa wapiga kachasu na msomi wapi na wapi?
Hahaha
Nawe unatafuta rafiki bwana shemeji?! Kila la kheri jamanii
 
ndohotabu doho nikukumbushe tu, hapo kwenye kusema urafiki si kwa lengo la mapenzi unafikiri utakua na mkakati gani wa kuhakikisha hamuangukii au kutumbukia huko? Nnaelewa hauna lengo la kutafuta mpenzi, lakini haya mambo huwezijua...rafi anakua rafiki kweli sasa baadae mnajikuta mnamalizia tu mambo mengine japo mara nyingi itaathiri urafiki wenu kwa namna moja ama nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…