Natafuta rafiki si kwa lengo la mapenzi

Aisee
Yangu macho nakuombea umpate huyo rafiki na ufaulu huo mtihani ambao wengi hawaufaulu

Ameen. Ila mtihani mkubwaa. Manani nimeshaanza kushambuliwa kabla hata sijampata huyo rafiki. Please maombi yako ni muhimu. Kesha please uniombee leo
 
ni PM mimi nina 29, ninaweza kuwa zaidi ya rafiki unayemuhitaji
 
Naweza kukuombea ukampata huyo rafiki ila unaweza kuja kudhindwa kufaulu mtihani niliyoukusudia.

Hakuna binadamu mkamilifu abadani!! Mark my words.

Sawa hakuna mwanadamu mkamilifu lakini sio wanadamu wote wana udhaifu wa kuingia mapenzini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…