Natafuta rafiki, understanding, mwenye uwelewa na upeo

Natafuta rafiki, understanding, mwenye uwelewa na upeo

Kariongo

Senior Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
112
Reaction score
5
Awe na umri miaka 25mpaka 28, educated na awe na interest na politics. Nia nikubalishana mawazo hasa weekend.
 
kubadilisha mawazo na masharti yote hayo?
Unamdanganya nani?
 
JF haikutosh...dah, bas we umeshindikana, nenda zako FB ama TWITR ....
 
Inabidi ufunguke mkuu, kama unataka mchumba/girl friend ijulikane mapema.
 
Inabidi ufunguke mkuu, kama unataka mchumba/girl friend ijulikane mapema.

mchumba nanaye tena nampenda sana. Nimesema mtu mwenye upeo na interested na politics kwa ajil kubadilishana mawazo tu
 
Back
Top Bottom