Natafuta rafiki wa jinsia ya kike mwenye sifa zifuatazo;

Wernery G Kapinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
376
Reaction score
127
1. Aliyezaliwa kuanzia 1991 hadi 1993.
2. Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea
3. Anayefikiria kuwa na ujuzi fulani wa share order katika biashara n.k
4. Anayefikiria kujiajiri zaidi kuliko kutegemea kuajiriwa.
5. Mwenye busara, hekima na nidhamu kwa mtu yeyote.
6. Awe na ujasiri na asiwe mwogamwoga.
7. Awe anajiamini kuwa anaweza.
8. Asiwe anapenda starehe sana kama vile kulewa na kwenda klabu.

NB: Kwa kuwa Tanzania tuna rasilimali nyingi, sisi vijana tunao uwezo wa kujiajiri kupitia hizo. Anza kuchangamka kwa kunitafuta kupitia 0754 004189 au 0783 004189 nikueleze nini nimefikiria tufanye na nikakuchagua wewe. Mwisho ni Tarehe 25 February!
 
Hiyo yenye red ina maswali/swali kidogo: KUNA VITA?
Au imekaaje!
 
MMH,we jinsia gani, unatafuta biznes partner au, n y ni jinsia ke tu
 
Jamani waJF msitafsiri tofauti na hivyo. Kujiamini na kuto kuwa mwoga nina maana ya kuto ogopa kuongea mbele za watu n.k
 
Kwa ujumla hakuna vita kwa hili. Ni kushirikishana ujuzi katika rasilimali zinazotuzunguka.
 
Back
Top Bottom