Natafuta rafiki wa jinsia zote

Natafuta rafiki wa jinsia zote

akiba

Senior Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
145
Reaction score
24
Nahitaji rafiki wa kupeana ushauri maana sijielewi naona km niko peke angu,wandugu plz nakaribisha pm kwa new friend.
 
unajihisi uko peke yako kiaje......................

uwe unakuja chit chat u will get alot of friends
 
Pole km imekupa utata ila namaanisha marafiki jinsia ya me na ke!

We ni jinsia gani? Kama ni Ke, umeolewa? unapenda hata sisi tuliooa? kama vipi twenzetu PM. Kama ni dume mwenzangu, ishia hapahapa.
 
We ni jinsia gani? Kama ni Ke, umeolewa? unapenda hata sisi tuliooa? kama vipi twenzetu PM. Kama ni dume mwenzangu, ishia hapahapa.

Hata walioa ni sawa maana ninachohitaji ni urafiki tu na si vingine!
 
Back
Top Bottom