Stoudemire
JF-Expert Member
- Mar 24, 2012
- 839
- 207
under 32 ndo kwisha.Habari wana JF,
Ningependa kuwa na rafiki wa karibu (sio wa kimapenzi) ambae naweza kumwamini kwa kila jambo langu, kama unakidhi vitu vifuatavyo naomba uniPM
1. Sichagui jinsia jina dini kabila
2. Kwa dini yoyote uliyonayo uwe una hofu ya Mungu
3. Umri 32+
4. Usiwe umeoa au kuolewa ila kama una mtoto au watoto sawa
5. Uwe unaweza kutunza siri
Asanteni
Habari wana JF,
Ningependa kuwa na rafiki wa karibu (sio wa kimapenzi) ambae naweza
kumwamini kwa kila jambo langu, kama unakidhi vitu vifuatavyo naomba
uniPM
1. Sichagui jinsia jina dini kabila
2. Kwa dini yoyote uliyonayo uwe una hofu ya Mungu
3. Umri 32+
4. Usiwe umeoa au kuolewa ila kama una mtoto au watoto sawa
5. Uwe unaweza kutunza siri
Asanteni
tnx friendkaribu
no ni vigezo vyangu tuyou are too general hadi unawatisha wenzako!