Natafuta rafiki wa kawaida wa kike yaani bestfriend

Natafuta rafiki wa kawaida wa kike yaani bestfriend

adamjumakin

Member
Joined
May 4, 2012
Posts
10
Reaction score
0
Natafuta rafiki wa kawaida wa kike mwenye umri kati ya miaka 24-29,dini haijalishi,awe intellectual yaani mwana elimu:aweza kuwa amehitimu masomo au bado yupo masomoni,ila elimu isiwe chini ya form six.Pia awe ni mwenye mawazo chanya na si mawazo mgando.
 
mbona umewahi kujitetea yaonekana wengine huwa wana...........................
 
Aina ya Rafiki unayemuhitaji kihalisia huwa anapatikana automatically na si kwa mabango kama haya.
 
funga thread......mimi nimekidhi mpaka nimepitiliza.....
au tuingie PM....nyuki wengi barazani hapa....
 
ndio hivyo....si unajua malkia wa nyuki anavyokutana na mwanababa wa nyuki eeh......
Hivi wakikutana inakuwaje...kwani sisi wengine akili yetu nyembamba, haijajua methali!.
 
Back
Top Bottom