adamjumakin
Member
- May 4, 2012
- 10
- 0
Fuata nyuki ule asali mwanawane!.funga thread......mimi nimekidhi mpaka nimepitiliza.....
au tuingie PM....nyuki wengi barazani hapa....
Fuata nyuki ule asali mwanawane!.
Hivi wakikutana inakuwaje...kwani sisi wengine akili yetu nyembamba, haijajua methali!.ndio hivyo....si unajua malkia wa nyuki anavyokutana na mwanababa wa nyuki eeh......