Natafuta rafiki wa kike aliye Morogoro

Natafuta rafiki wa kike aliye Morogoro

Brown Mduma

Senior Member
Joined
Sep 29, 2020
Posts
180
Reaction score
284
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza natafuta rafiki wa kike ambae atakuwa mchumba wangu hadi tutakapofikia maamuzi ya kuoana.......
Asiwe mbali na mjini(Morogoro)
Sichagui dini wala umri kikubwa awe pisi kali tu
Kama upo njoo DM tuyajenge
 
Ukipata wawili nipasie mmoja
# maendeleo hayana chama [emoji1787][emoji1787]
 
sawa mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mwanamke yoyote, ujasema umri kiasi gani, mnene mwembamba.
 
Back
Top Bottom