Brown Mduma
Senior Member
- Sep 29, 2020
- 180
- 284
Ukipata wawili nipasie mmojaKama kichwa cha habar kinavyojieleza natafuta rafiki wa kike ambae atakuwa mchumba wangu hadi tutakapofikia maamuzi ya kuoana.......
Asiwe mbali na mjini(Morogoro)
Sichagui dini wala umri kikubwa awe pisi kali tu
Kama upo njoo DM tuyajenge
mm sina ubaguz wowote tu freshMwanamke yoyote, ujasema umri kiasi gani, mnene mwembamba.
[emoji28][emoji28]kaa kitaalam hapoPisi kali ndo zipoje mkuu?
Eniwei kila la kheri