E Ebeneza2018 Member Joined Oct 8, 2017 Posts 11 Reaction score 11 Oct 8, 2017 #1 Habari wana jf,natafuta rafiki wakike baadae aje kua mkewangu wa ndoa,kwa mawasiliano zaidi anitafute kwa namba 0689425236,sina vigezo Vinci,awe na umri wa miaka 27-40,
Habari wana jf,natafuta rafiki wakike baadae aje kua mkewangu wa ndoa,kwa mawasiliano zaidi anitafute kwa namba 0689425236,sina vigezo Vinci,awe na umri wa miaka 27-40,
Nokia83 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 24,643 Reaction score 44,320 Oct 8, 2017 #2 Unataka mwanamke mwenye stashahada?!wakat upo chuo hukuwaona wenzio?! Mke hatafutwi kwa kiwango cha elimu bwana
Unataka mwanamke mwenye stashahada?!wakat upo chuo hukuwaona wenzio?! Mke hatafutwi kwa kiwango cha elimu bwana
Internal JF-Expert Member Joined Feb 23, 2017 Posts 3,579 Reaction score 3,919 Oct 8, 2017 #3 Machozi yamenitoka kwa kicheko ila sawa kila la kheri kwako mkuu umpate akupendae