Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimemaliza UDSM, nina miaka 26 na ninatokea mkoa wa Singida. Natafuta rafiki ( mchumba ) ambaye ana umri chini ya miaka 30. Elimu yake iwe kuanzia kidato cha nne na kuendelea. Sina ubaguzi wa dini wala kabila.sifa zako na sifa za rafiki unaemtaka
Jamani aliye tayari ani-PM basi.