Natafuta rafiki wa kike ambaye baadaye atakuwa mchumba wangu.

MNYISANZU

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2011
Posts
7,046
Reaction score
1,102
WanaJF, upweke umenichosha. Natafuta rafiki wa kike ambaye baadaye anaweza kuwa mke wangu. Awe na umri chini ya miaka 30. Aliye tayari tuwasiliane hapa.
 
utampata usiwe na wasiwasi hapa jf ndio kila kitu
 
sifa zako na sifa za rafiki unaemtaka
Nimemaliza UDSM, nina miaka 26 na ninatokea mkoa wa Singida. Natafuta rafiki ( mchumba ) ambaye ana umri chini ya miaka 30. Elimu yake iwe kuanzia kidato cha nne na kuendelea. Sina ubaguzi wa dini wala kabila.
 
Jamani aliye tayari ani-PM basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…