chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,694
- 4,954
Napenda kuwa na rafiki ambaye kwa mipango yangu mwisho wa siku ndio awe mchumba wangu,vigezo awe mwanafunzi wa chuo au mwalamu nawapa kipaumbele walimu kutokana na nature ya kazi zao kwani huweza kupata muda wa kutosha kupanga mambo ya familia pia kimaadili napenda mke wangu awe mwalimu,karibuni walengwa sio joke nipo serious japo wengine wanaweza leta mzaha ktk hili