Natafuta rafiki wa kike baadae awe mke

Natafuta rafiki wa kike baadae awe mke

mmbangaya

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2015
Posts
997
Reaction score
1,765
Salaam JF,

Mimi ni mwanaume 30 years mfanyakazi sekta binafsi.

Ninatafuta rafiki wa kike ili baadae Mungu akipenda awe mama watoto wangu.

Umri awe above 25. Awe anaishi mikoa ya Songwe, Iringa au Mbeya.

Njoo pm
 
Back
Top Bottom