Natafuta rafiki wa kike baadae awe mke

yeka

Member
Joined
Feb 14, 2017
Posts
47
Reaction score
29
Habari wanajamvi,

Mimi kijana wa kiume mwenye miaka 20's.

Nina shahada ya uhandisi wa umeme.

Nimejiajiri katika fani yangu hiyo hiyo.

Natafuta rafiki ambae atakuja kua mke hapo baadae.

Awe mvumilivu, anayejali, flexible kwa situation yeyote, anayemwogopa Mungu.

Aliyekua serious anichek PM.
 
Kila la heri ila humu jf cjui kam wapo labda ujaribu fb au insta ila Mungu akuogoze Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…