Handsome2020
New Member
- May 24, 2018
- 2
- 0
Hi,mimi ni mwanaume najitokeza kwa mara ya kwanza kutafuta mke ambaye nitaishi naye siku zote,mwenye umri wa miaka 23-28,elimu kuanzia kidato cha sita na kuendelea,dini mkristu,kabila lolote,awe amejiajiri/kuajiriwa.Mimi umri wangu ni miaka 33,dini mkristu,kwa taarifa zaidi njoo pm kwa atakaye kuwa na uhitaji,asanteni sana na samahani kwa ambaye nimemkwaza kwanamna moja au nyingine mke anapatikana popote pale Mungu alipokuandikia kumpata.