SOKETI JF-Expert Member Joined Jul 24, 2010 Posts 206 Reaction score 50 Jan 3, 2013 #1 Natafuta rafiki wa kike, Awe na umri kati ya miaka 18-24, .tabia nzuri. .mcha mungu. .mwenye uelewa na mipango ya maisha. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, Aliye tayari ani PM.
Natafuta rafiki wa kike, Awe na umri kati ya miaka 18-24, .tabia nzuri. .mcha mungu. .mwenye uelewa na mipango ya maisha. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, Aliye tayari ani PM.
kipoma JF-Expert Member Joined Aug 27, 2012 Posts 370 Reaction score 296 Jan 6, 2013 #2 cjui kama utapata!
SOKETI JF-Expert Member Joined Jul 24, 2010 Posts 206 Reaction score 50 Jan 11, 2013 Thread starter #3 Tatizo siyo kupata, tatizo ni kumpata tutakaye endana na kupendana..