Natafuta rafiki wa kike kubadilishana mawazo

Natafuta rafiki wa kike kubadilishana mawazo

reuse02

Member
Joined
Oct 5, 2017
Posts
15
Reaction score
9
Natafuta rafiki, awe msomi degree na kuendelea, rangi yoyote na umbo lolote kabila lolote miaka yoyote,

Sihitaji mchumba wala girlfriend narudia tena ni rafiki tu wa kubadilishana mawazo na kufamiana

Umri wangu 27 naish dar,msomi wa masters degree najishughulisha na mambo yangu,, hivyo vigezo vinayosha maana sitafuti mchumba wala girlfriend hivyo vingine utavijua by the way tutakapokuwa marafiki
 
Kweli nausomi wako wote chuoni
Umekosa kweli mwanamke
Then mkijakutapeliwa mnasema wanawake wabaya

Mkuu aiseee soma vizuri basi nimesema rafiki tu sina shida na mchumba wa girlfrnd...., mchumba ninae ntakosaje mwanamke kote nilipopita haiwezekani, so ni marafiki tu natafuta
 
Mkuu aiseee soma vizuri basi nimesema rafiki tu sina shida na mchumba wa girlfrnd...., mchumba ninae ntakosaje mwanamke kote nilipopita haiwezekani, so ni marafiki tu natafuta
Sasa kunahurafiki bila mambo Fulani
Ila utapata wengi Sana
Nategemea ATM ifanye kazi sana
 
Back
Top Bottom