Uncle Rubeya
New Member
- Jun 6, 2021
- 1
- 2
Jamani ni typing error tu😂😂Tatizo la kubugia k vant bila kula
Kweli, lkn why watu wasake wapennzi humu gizani?Jamani ni typing error tu[emoji23][emoji23]
😡😡😡Mimi in mwanamme mtu mzima ninayejiheshimu nahitaji mwanamme ambaye tutaazisha mahusiano ya kidumu
Mapenzi popote bana, wewe upo huku gizani ila pia ndiye huyo huyo uliyepo huko mtaani(mwangani) wote sawa tu, mi sioni shida kabisaKweli, lkn why watu wasake wapennzi humu gizani?
Mmh, mimi siwezi kutangaza, naweza kupenda mwandiko...nikajua kichwani una nini...then pm...hapo pia sitatongoza hadi nikufahamu kabisaa, ndipo ufukuziajii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mapenzi popote bana, wewe upo huku gizani ila pia ndiye huyo huyo uliyepo huko mtaani(mwangani) wote sawa tu, mi sioni shida kabisa
Ok that's your strategy, wengine wanaamini anaweza tangaza na akapata mtu sahihi pia, muhimu kila mtu afanye kile moyo wake unamwambia ni sahihi.Mmh, mimi siwezi kutangaza, naweza kupenda mwandiko...nikajua kichwani una nini...then pm...hapo pia sitatongoza hadi nikufahamu kabisaa, ndipo ufukuziajii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wala huhitaji kuwa mama mchungaji, hata katika mizaha kuna hekima imejificha.Ok that's your strategy, wengine wanaamini anaweza tangaza na akapata mtu sahihi pia, muhimu kila mtu afanye kile moyo wake unamwambia ni sahihi.
Kwahiyo strategy yako kwa sisi tunaocomment ujinga huwa unatuonaje vichwani yani dah[emoji23] kumbe hizi comments zinaweza sababisha ukakosa mume hivi hivi. Najirekebisha nakua good girl wife material [emoji16]
Dah siye wengine ni wajinga hadi mwisho ila fresh tu😂Wala huhitaji kuwa mama mchungaji, hata katika mizaha kuna hekima imejificha.
Mtu smart hata utani na ujinga wake una ka mvuto ka aina yake.
Acha basi bhana, hivi unafikiri watu hawa kuelewi wewe?Dah siye wengine ni wajinga hadi mwisho ila fresh tu[emoji23]
Bro plz ni tyiping error usimuumize mwanaume mwenzio kiasi hiki plzWanaume changamkieni fursa jamaa anataka kitu mchicha mwiba .