The Badest
New Member
- Jun 5, 2022
- 1
- 0
Mimi ni kijana wakiume mwenye umri wa miaka 31, mkristo, urefu ni ft 5.8, uzito 65 na sio mnene, muonekano wangu ni wakawaida, elimu yangu ni degree moja na nimejiajiri, kwa sasa na kipato changu ni kidogo, naishi Dar es salaam.
Natafuta rafiki wa kike ambaye atakuja kuwa mke wangu;
Nicheki PM, I will be here waiting!
Natafuta rafiki wa kike ambaye atakuja kuwa mke wangu;
- Uwe na umri Kati ya 22-28.
- Uwe ni mkristo au muislamu ambaye anaweza badili dini.
- Uwe mwembamba au mwili wakawaida lakini sio mnene.
- Uwe na mwonekano mzuri.
- Uwe na elimu kuanzia Form 4 na kuendelea.
- Uwe na uhitaji wa mwanaume wa kweli katika maisha yako usie na Mambo mengi.
- Uwe unajielewa kimaadili na mwenyehofu ya mungu na mpambanaji kimaisha.
- Uwe unaishi Dar es salaam.
Nicheki PM, I will be here waiting!