Mimi sio msumbufu tuwe marafiki basi joanah๐Huyo rafiki utakayempata atapata tabu sana inaonekana wewe msumbufu
Asante sana best .karibu na Pm๐คKaribu @Jafarinho rafiki yangu wa JF
Ukipata wengi, nipunguzieNatafuta rafiki wa kike nipo Dar es salaam,Mimi ni mwanaume wa miaka 28,dini Mkristo, njoo PM kwa maelezo zaidi
๐๐๐ umeniwahi nilitaka niseme hivyo hivyoKuanzia jumapili hadi leo ijumaa umeshaweka nyuzi 6 za kutafuta rafiki
Huyo rafiki utakayempata atapata tabu sana inaonekana wewe msumbufuuuu
๐๐ huyu ni ile aina ya mtu akikutext ukachukua dakika kadhaa bila kumjibu analalamika๐๐๐ umeniwahi nilitaka niseme hivyo hivyo
Marafiki tukajifiche Pm kutafuta Nini,hapa hapa sebuleni ndo pazuri!Bado,....tunaweza kuwa marafiki Karibu pm
๐for more conversationMarafiki tukajifiche Pm kutafuta Nini,hapa hapa sebuleni ndo pazuri!
Msg zinaingia 6 zote malalamiko tu ๐๐๐ huyu ni ile aina ya mtu akikutext ukachukua dakika kadhaa bila kumjibu analalamika
Kila la heri kwa rafiki zake ๐ถMsg zinaingia 6 zote malalamiko tu ๐
Kwa kweli ๐๐Kila la heri kwa rafiki zake ๐ถ
Endelea kusubiri watakuja tu!๐for more conversation
Sio Mimi nimemjibia๐Endelea kusubiri watakuja tu